Bondia Mmarekani, Deontay Wilder (kulia) akiwa ameketi chini baada ya kuangushwa Muingereza, Tyson Fury (kushoto) katika pambano la ngumi za kulipwa la uzito wa juu asubuhi ya leo ukumbi wa MGM Grand Jijini Las Vegas, Marekani. Gypsy King alimuangusha mara mbili Bronze Bomber kabla ya wasaidizi wake kurusha taulo ulingoni raundi ya saba kumnusuru na kipigo zaidi hivyo Fury kutwaa taji la WBC kwa ushindi wa Technical Knockout (TKO) PICHA ZAIDI SOMA HAPA
TYSON FURY AMKALISHA WILDER KWA TKO RAUNDI YA SABA NA KUTWAA TAJI LA WBC
By Alex Sonna
February 23, 2020 | 11:42 am

Related Stories
View all
Michezo
17 hours ago
LIONEL MESSI AANDIKA HISTORIA MPYA YA KOMBE LA DUNIA
Timu ya Taifa ya Argentina imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Austria katika mchezo wake wa pili wa hatua ya makundi…
Michezo
2 days ago
YANGA SC YASALIMU AMRI MBELE YA AZAM FC
Matajiri wa Jiji la Dar es Salaam, Azam FC, wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Yanga SC katika mchezo wa nusu…
