Home Michezo LAMPARD AZIDI KUMTESA MOURINHO ,CHELSEA YAICHAPA 2-1 TOTTENHAM

LAMPARD AZIDI KUMTESA MOURINHO ,CHELSEA YAICHAPA 2-1 TOTTENHAM

0

Beki Marcos Alonso akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika ya 48 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Tottenham Hotspur kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London. Bao la kwanza Chelsea limefungwa na Olivier Giroud dakika ya 15, kabla ya Antonio Rudiger kujifunga dakika ya 89 kuwapata Spurs bao la kufutia machozi PICHA ZAIDI SOMA HAPA