Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Watendaji Wakuu wa Idara ya Uhamiaji Nchini, katika ukumbi wa mikutano wa Idara hilo, jijini Dar es Salaam, leo. Simbachawene amewataka Watendaji hao wawakikishe wanawakamata mawakala wa huduma za Uhamiaji (Vishoka), ambao wanawatapeli wananchi wakijitambulisha ni maafisa uhamiaji katika maeneo mbalimbali nchini. Pia aliwataka viongozi hao kutenda haki katika mchakato wa utoaji wa uraia. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Watendaji Wakuu wa Idara ya Uhamiaji Nchini, katika ukumbi wa mikutano wa Idara hilo, jijini Dar es Salaam, leo. Simbachawene amewataka Watendaji hao
wawakikishe wanawakamata mawakala wa huduma za Uhamiaji (Vishoka), ambao wanawatapeli wananchi wakijitambulisha ni maafisa uhamiaji katika maeneo mbalimbali nchini. Pia aliwataka viongozi hao kutenda haki katika mchakato wa utoaji wa uraia. Katikati ni Kamishna wa Pasipoti na Uraia, Gerald Kihinga, na Kamishna wa Usimamizi na Uthibiti wa Mipaka, Samuel Mahirane.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akiangalia pasipoti ya kielektroniki inayotolewa na Idara ya Uhamiaji,
alipotembelea Ofisi ndogo za Makao Makuu ya idara hiyo, jijini Dar es Salaam, leo. Katikati ni Kamishna wa Pasipoti na Uraia, Gerald Kihinga, na kulia ni Msimamizi wa chumba cha Uchapaji, Mrakibu Msaidizi, Samuel Gambadu. Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Kamishna wa Pasipoti na Uraia Idara ya Uhamiaji, Gerald Kihinga (kulia), akimuonyesha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, pasipoti ya Kielekroniki ambayo imechapishwa na Idara hiyo, wakati Waziri huyo
alipofanya ziara Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya Uhamiaji, jijini Dar es Salaam, leo. Simbachawene amewataka Watendaji hao wawakikishe wanawakamata mawakala wa huduma za Uhamiaji (Vishoka), ambao wanawatapeli wananchi wakijitambulisha ni maafisa uhamiaji katika maeneo mbalimbali nchini. Pia aliwataka viongozi hao kutenda haki katika mchakato wa utoaji wa uraia. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia), akimsikiliza Afisa Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam, Edmund Mrosso alipokuwa anazungumza katika Kikao cha Watendaji Wakuu wa Idara ya Uhamiaji Nchini,
kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Idara hilo, jijini Dar es Salaam, leo. Simbachawene amewataka Watendaji hao wawakikishe wanawakamata mawakala wa huduma za Uhamiaji (Vishoka), ambao wanawatapeli wananchi
wakijitambulisha ni maafisa uhamiaji katika maeneo mbalimbali nchini. Pia
aliwataka viongozi hao kutenda haki katika mchakato wa utoaji wa uraia. Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.