Home Mchanganyiko MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA MJINI KIGOMA

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA MJINI KIGOMA

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Mwanga Community Centre uliopo Manispaa ya Kigoma Ujiji, Februari 21,2020

Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Mwanga Community Centre uliopo Manispaa ya Kigoma Ujiji, Februari 21, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)