RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Lawrence Tax, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar alipofika kuonana na kufanya mazungumzo leo 21-2-2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Katibu Mtendaji wa SADSC , Dkt. Stergomena Lawrence Tax, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 21-2-2020.(Picha na IKULU)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Lawrence Tax, alipofika Ikulu leo 21-2-2020 kwa mazungumzo yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)