Anthony Martial akiifungia bao la kusawazisha Manchester United dakika ya 36, kufuatia Emmanuel Dennis kuanza kuifungia Club Brugge dakika ya 15 katika sare ya 1-1 baina ya timu hizo kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 32 Bora michuano ya UEFA ya Europa League usiku wa jana Uwanja wa Jan Breydel Jijini Brugge, Ubelgiji. Timu hizo zitarudiana Februari 27 Manchester PICHA ZAIDI SOMA HAPA