Home Michezo LACAZETTE AING’ARISHA ARSENAL UGENINI EUROPA LEAGUE YAICHAPA 1-0 OLYMPIACOS

LACAZETTE AING’ARISHA ARSENAL UGENINI EUROPA LEAGUE YAICHAPA 1-0 OLYMPIACOS

0

Mshambuliaji Alexandre Lacazette (kulia) akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Arsenal bao pekee dakika ya 81 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Olympiakos Piraeus usiku wa jana Uwanja wa Georgios Karaiskaki, Pireas nchini Ugiriki kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 32 Bora UEFA Europa League. Timu hizo zitarudiana Februari 27 London PICHA ZAIDI SOMA HAPA