Mshambuliaji Alexandre Lacazette (kulia) akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Arsenal bao pekee dakika ya 81 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Olympiakos Piraeus usiku wa jana Uwanja wa Georgios Karaiskaki, Pireas nchini Ugiriki kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 32 Bora UEFA Europa League. Timu hizo zitarudiana Februari 27 London PICHA ZAIDI SOMA HAPA
LACAZETTE AING’ARISHA ARSENAL UGENINI EUROPA LEAGUE YAICHAPA 1-0 OLYMPIACOS
By Alex Sonna
February 21, 2020 | 5:55 am

Related Stories
View all
Michezo
19 hours ago
SIMBA SC “YAMTWANGA” AZAM FC NYUMBANI KWAKE
Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara…
Michezo
2 days ago
YANGA SC YAIFUNGA GEITA GOLD KWA TABU, DAR ES SALAAM
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC, wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu…
