Bondia Mmarekani, Deontay Wilder (kushoto) akimsukuma mpinzani wake, Muingereza Tyson Fury jana kwenye mkutano na wa mwisho na Waandishi wa Habari mjini Las Vegas, Marekani kuelekea pambano lao la Jumapili asubuhi ukumbi wa MGM Grand Jijini humo, ambalo ltakuwa na marudiano baada ya wawili hap kutoka droo Desemba 2018 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
WILDER NA TYSON FURY WATAKA KUZIPIGA ‘KAVU KAVU’ LAS VEGAS
By Alex Sonna
February 20, 2020 | 10:11 am

Related Stories
View all
Michezo
3 days ago
SERENGETI BOYS YATIKISA AFRIKA, YATINGA FAINALI YA AFCON U-17
Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Vijana ya Tanzania, Serengeti Boys, imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya Michuano ya Mataifa ya Afrika…
Michezo
3 days ago
