Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Vicent Mashinji akizungumza na Wanahabari (hawapo pichani) kuomba kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) mbele ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndugu Humphrey Polepole, Mkutano uliofanyika katika ofisi ndogo za Chama Lumumba Jijini Dar es salaam. Februari 18, 2020
Katibu wa Itikadi na Uenezi ndugu Humphurey
Polepole akiwa na Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Vicent Mashinji aliyeomba kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), Mkutano uliofanyika katika ofisi ndogo za Chama Lumumba Jijini Dar es salaam. Februari 18, 2020.
Katibu wa Itikadi na Uenezi ndugu Humphrey
Polepole akizungumza na Wanahabari (hawapo pichani) mara baada ya Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Vicent Mashinji akiwa amevaa sare za CCM. Mkutano wa kuomba kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM)uliofanyika katika ofisi ndogo za Chama Lumumba Jijini Dar es salaam. Februari 18, 2020
Katibu wa Itikadi na Uenezi ndugu Humphrey
Polepole akimpongeza Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Vicent Mashinji mara baada ya kuomba kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), Mkutano uliofanyika katika ofisi ndogo za Chama Lumumba Jijini Dar es salaam. Februari 18, 2020
Katibu wa Itikadi na Uenezi ndugu Humphurey
Polepole akizungumza na Wanahabari (hawapo pichani) kuhusu maombi ya Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Vicent Mashinji kuomba kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), Mkutano uliofanyika katika ofisi ndogo za Chama Lumumba Jijini Dar es salaam. Februari 18, 2020