Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiendesha Mkutano wa Utekelezaji Mpango Kazi wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo kwa kipindi cha robo mbili Julai-Disemba 2019 kwa mwaka wa Fedha 2019/2020 uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Balozi Ali Abeid Karume (katikati) alipokuwa akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mapango kazi kwa kipindi cha robo mbili Julai-Disemba 2019 kwa mwaka wa Fedha 2019/2020 katika mkutano wa Wizara hiyo uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,(kushoto) Naibu Waziri Lulu Msham Abdalla na Katibu Mkuu Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee (kulia)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Nd,Omar Hassan Omar (kushoto) alipokuwa akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Mapango kazi kwa kipindi cha robo mbili Julai-Disemba 2019 kwa mwaka wa Fedha 2019/2020 katika mkutano wa Wizara hiyo uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Raios wa Zanzib ar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) na Naibu Katibu Mkuu Nd,Amourhamil Bakari (kulia)
Maafisa wa Idara mbali mbali za Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza katika Mkutano wa Utekelezaji Mpango Kazi wa Wizara kwa kipindi cha robo mbili Julai-Disemba 2019 kwa mwaka wa Fedha 2019/2020 uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Mshauri wa Rais masuala ya Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Chimbeni Kheir Chimbeni (kulia) pamoja na Wakurugenzi katika Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza katika Mkutano wa Utekelezaji Mpango Kazi wa Wizara kwa kipindi cha robo mbili Julai-Disemba 2019 kwa mwaka wa Fedha 2019/2020 uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiendesha Mkutano wa Utekelezaji Mpango Kazi wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo kwa kipindi cha robo mbili Julai-Disemba 2019 kwa mwaka wa Fedha 2019/2020 uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu]