Home Mchanganyiko #LIVE: UZINDUZI WA KIPINDI CHA PILI CHA AWAMU YA TATU YA TASAF

#LIVE: UZINDUZI WA KIPINDI CHA PILI CHA AWAMU YA TATU YA TASAF

0


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 17, Febuari, 2020 anazindua Kipindi chapili cha awamu ya tatu ya TASAF kwenye ukumbi wa Julius Nyerere JNICC jijini Dar es salaam.