Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa akimvisha Skafu Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akilipowasuili katika ukumbi wa Urafiki Jijini Dar es salaam leo 16 Febuari 2020 kwa ajili ya kuzindua kongamano la Wasichana wa UVCCM Tawi la Abiyani Chuo Kikuu cha Dar es salaam lenye mada kuu Mwamko wa Wasichana katika Masuala ya uongozi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua kongamano la Wasichana wa UVCCM Tawi la Abiyani Chuo Kikuu cha Dar es salaam lenye mada kuu Mwamko wa Wasichana katika Masuala ya uongozi. kongamano hilo limezinduliwa leo 16 febuari 2020 katika Ukumbi wa Urafiki.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisisitiza jambo kwa Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa Tabia Mwita na Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa Raymond S Mwangwala wakati wa uzinduzi wa kongamano la Wasichana wa UVCCM Tawi la Abiyani Chuo Kikuu cha Dar es salaam lenye mada kuu Mwamko wa Wasichana katika Masuala ya uongozi. kongamano hilo limezinduliwa leo 16 febuari 2020 katika Ukumbi wa Urafiki.