Jaji Mkuu wa Ethiopia, Mhe. Meaza Mengistu (kulia) akisalimiana leo na Balozi wa Ethiopia nchini Tanzania, Mhe. Yonas Sanbe mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ndege vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Jaji Ethiopia, Mhe. Meaza Mengistu (kulia) akipokelewa leo na Jaji wa Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara , Mhe. Mkuu wa Patricia Fikirini mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ndege vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujifunza na kubadilishana uzoefu wa maboresho mbalimbali yaliyofanywa na Mahakama ya Tanzania.Jaji Mkuu wa Ethiopia amewasili nchini kwa ziara ya siku tatu.
Jaji Mkuu wa Ethiopia, Mhe. Meaza Mengistu (kulia) akisalimiana leo na Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania , Mhe. Sharmillah Sarwatt. mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ndege vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Jaji Mkuu wa Ethiopia, Mhe.Meaza Mengistu (kulia) akizungumza jambo leo na Jaji wa Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara , Mhe. Patricia Fikirini mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ndege vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Jaji Mkuu wa Ethiopia, Mhe Meaza Mengistu (kulia) akizungumza jambo leo na Balozi wa Ethiopia nchini Tanzania, Mhe. Yonas Sanbe mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ndege vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
(Picha na Magreth Kinabo-Mahakama)