Home Mchanganyiko Katibu Mkuu Wizara ya Habari akutana na watumishi wa wizara hiyo kituo...

Katibu Mkuu Wizara ya Habari akutana na watumishi wa wizara hiyo kituo cha Dar es Salaam

0

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi akisalimiana na watumishi wa Wizara hiyo kituo cha Dar es Salaam alipokutana nao mapema hii leo na kufanya kikao kwa lengo la kuweka mikakati ya wizara katika kipindi cha uongozi wake.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi akifafanua jambo kwa watumishi wa Wizara hiyo kituo cha Dar es Salaam alipokutana nao mapema hii leo na kufanya kikao kwa lengo la kuweka mikakati ya wizara katika kipindi cha
uongozi wake.

Watumishi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakila kiapo cha Uadilifu katika utumishi wa umma baada ya Semina elekezi kutoka Ofisi ya Rais, Sekretariat ya Maadili ya Viongozi wa Umma ikiwa ni Sehemu ya Kikao kazi cha watumishi wa Wizara hiyo.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi akizungumza na watumishi wa Wizara hiyo kituo cha Dar es Salaam alipokutana nao mapema hii leo na kufanya nao kikao kwa lengo la kuweka mikakati ya wizara katika kipindi cha uongozi
wake.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi (mwenye tai) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Wizara hiyo kituo cha Dar es Salaam alipokutana nao mapema hii leo na kufanya kikao kwa lengo la kuweka mikakati ya wizara katika kipindi cha uongozi wake.

Baadhi ya watumishi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kituo cha Dar es Salaam wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Hassan Abbasi (hayupo pichani) alipokutana nao mapema hii leo na kufanya kikao kwa lengo la kuweka mikakati ya wizara katika kipindi cha uongozi wake.