Home Michezo TWIGA STARS YAENDA TUNISIA KUSHIRIKI MICHUANO MAALUM YA WANAWAKE, UNAF ILIYOANDALIWA NA...

TWIGA STARS YAENDA TUNISIA KUSHIRIKI MICHUANO MAALUM YA WANAWAKE, UNAF ILIYOANDALIWA NA WENYEJI

0
Kikosi cha timu ya taifa ya Wanawake Tanzania, Twiga Stars kimeondoka usiku wa kuamkia leo kwenda Tunisia kwenye mashindano ya UNAF inayotarajiwa kuanza leo (Februari 13) hadi 23, mwaka huu.