Home Mchanganyiko WAZIRI KIGWANGALLA ATANGAZA MATOKEO YA HESABU YA SENSA YA ANGA YA WANYAMAPORI...

WAZIRI KIGWANGALLA ATANGAZA MATOKEO YA HESABU YA SENSA YA ANGA YA WANYAMAPORI NYERERE SELOUS -MIKUMI LEO

0

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Regine Hess mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya Sensa ya anga ya Wanyamapori iliyofanyika kwenye mtandao wa Nyerere Selous – Mikumi leo jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania,Regina Hess wakiangalia chapisho la matokeo ya Sensa ya anga ya Wanyamapori iliyofanyika mwezi Oktoba na Novemba 2018 kwenye mtandao wa Nyerere Selous – Mikumi leo jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na waandishi wa Habari ( hawapo pichani) wakati wa kutangaza matokeo ya Sensa ya anga ya Wanyamapori iliyofanyika mwezi Oktoba na Novemba 2018 kwenye mtandao wa Nyerere Selous – Mikumi leo jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Regine Hess mara baada ya kumalizika kwa mkutano na waandishi wa Habari wa kutangaza matokeo ya Sensa ya anga ya Wanyamapori iliyofanyika mwezi Oktoba na Novemba 2018 kwenye mtandao wa Nyerere Selous – Mikumi leo jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akiwaonesha waandishi wa Habari ( hawapo pichani) matokeo ya Sensa ya anga ya Wanyamapori iliyofanyika mwezi Oktoba na Novemba 2018 kwenye mtandao wa Nyerere Selous – Mikumi leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Regine Hess.

Picha /Aron Msigwa – WMU –Dar es salaam