RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Nd,Ame Burhan Shadil kuwa Naibu Mhasibu Mkuu wa Serikali katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu,]11/02/2020.
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Viongozi katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),(kulia) Mshauri wa Rais masuala ya Uwekezaaji na Uwezeshaji Mhe.Abdurahman Mwinyi Jumbe na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, [Picha na Ikulu,]11/02/2020.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Nd,Khatib Mwadin Khatib kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu,]11/02/2020.
Baadhi ya Viongozi walioshuhudia uapishwaji wa Viongozi walioteulia na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani leo katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]11/02/2020.