Home Mchanganyiko MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kuteuliwa, Mama Salma Kikwete, bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu,  Jenista Mhagama (kushoto) akizungumza na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard  Kalemani (kulia) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Profesa Adelardus Kilangi, bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, bungeni jijini Dodoma Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye ulemavu, Jenista Mhagama akizungumza na mbunge wa Viti Maalum Jackline Ngonyani Mshongozi (kushoto), bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,  Mhandisi Isack Kamwelwe, bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu