Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge, Joseph Haule wa Mikumi (kulia) na Peter Lijualika wa Kilombero kwenye viwanja vya bunge jijini Dodoma, Februari 3, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge wa Viti Maalum kwenye viwanja vya bunge jijini Dodoma, Februari 3, 2020. Kutoka kushoto ni Cesilia Pareso, Grace Kiwelu na Risala Kabongo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mnadhimu mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, Ester Bulaya, kwenye jengo la utawala la Bunge jijini Dodoma, Februari 3, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mbunge wa Igunga, Dkt. Dalaly Kafumu kwenye jengo la utawala la bunge jijini Dodoma, Februari 3, 2020. Katikati ni Mbunge wa Viti Maalum, Shally Raymond. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).