Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika kwa mamlaka aliyokasimiwa kwa mujibu wa Sheria amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Wilaya nane (8) kwa kuwapandisha vyeo Makatibu Tarafa na kuwabadilisha vituo vya kazi Makatibu Tawala watatu (3).
– n
Walioteuliwa ni wafuatao;
Michael J. Semindu – Kituo, Wilaya ya Mbalali Mikidadi D. Nchunguye – Kituo, Wilaya ya Kigoma Lincoln Tamba – Kituo, Wilaya ya Mlele Neema M. Nyalege – Kituo, Wilaya yaKiteto Estomih M. Kyando – Kituo, Wilaya ya Iringa Hoffman H. Sanga – Kituo, Wilaya ya Mvomero
Amin M. Mrisho – Kituo, Wilaya ya Mwanga – Nicodemus M. Shirima – Kituo, Wilaya ya Bariadi
t woo
oo
Waliobadilishwa vituo vya kazi ni wafuatao;
Veronica Kinyemi – kutoka Wilaya ya Bariadi kwenda Wilaya ya Mkuranga Delmina M. Tumaini – Kutoka Wilaya ya Mkuranga kwenda Wilaya ya Kigamboni Rahel Mhando – Kutoka Wilaya ya Kigamboni kwenda
Wilaya ya Korogwe Wateule wapya waripoti Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora siku ya Jumanne tarehe 04 Februari, 2020 kwa ajili ya kukamilisha taratibu za Uteuzi.
Lune
Dkt. Laurean I. P. Ndumbaro KATIBU MKUU (UTUMISHI).
Tarehe 31 Januari, 2020