Home Michezo SPIKA NDUGAI AZINDUA TAWI LA WABUNGE MASHABIKI WA SIMBA ‘WEKUNDU WA MJENGONI...

SPIKA NDUGAI AZINDUA TAWI LA WABUNGE MASHABIKI WA SIMBA ‘WEKUNDU WA MJENGONI ’JIJINI DODOMA

0

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai,akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba Bw. Senzo Mbatha kabla ya kuzindua  tawi jipya la kisasa ‘WEKUNDU WA MJENGONI”nje ya lango kuu la kuingia Bungeni tukio lililofanyika leo Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai,akizungumza na wabunge wananchama,washabiki na wapenzi wa timu ya Simba alipokuwa akizundua tawi jipya la kisasa la ‘WEKUNDU WA MJENGONI”nje ya lango kuu la kuingia Bungeni tukio lililofanyika leo Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Mashabiki wa Simba wabunge Mhe.Rashid Shangazi,akizungumza na wabunge wananchama,washabiki na wapenzi wa timu ya Simba wakati wa uzundua wa tawi jipya la kisasa la ‘WEKUNDU WA MJENGONI”nje ya lango kuu la kuingia Bungeni tukio lililofanyika leo Jijini Dodoma

Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba Bw. Senzo Mbatha,akizungumza na wabunge wananchama,washabiki na wapenzi wa timu ya Simba wakati wa uzundua wa tawi jipya la kisasa la ‘WEKUNDU WA MJENGONI”nje ya lango kuu la kuingia Bungeni tukio lililofanyika leo Jijini Dodoma

Mashabiki wa Simba Mhe.Salome Makamba akizungumza na wabunge wananchama,washabiki na wapenzi wa timu ya Simba wakati wa uzundua wa tawi jipya la kisasa la ‘WEKUNDU WA MJENGONI”nje ya lango kuu la kuingia Bungeni tukio lililofanyika leo Jijini Dodoma

Msemaji wa Simba Haji Manara,akizungumza na wabunge wananchama,washabiki na wapenzi wa timu ya Simba wakati wa uzundua wa tawi jipya la kisasa la ‘WEKUNDU WA MJENGONI”nje ya lango kuu la kuingia Bungeni tukio lililofanyika leo Jijini Dodoma

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai,akipokea kadi kutoka kwa  Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba Bw. Senzo Mbatha mara baada ya  kuzindua  tawi jipya la kisasa ‘WEKUNDU WA MJENGONI”nje ya lango kuu la kuingia Bungeni tukio lililofanyika leo Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai,akiteta jambo na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe.Anthony Mavunde wakati wa uzindua  wa tawi jipya la kisasa ‘WEKUNDU WA MJENGONI”nje ya lango kuu la kuingia Bungeni tukio lililofanyika leo Jijini Dodoma.

.

Sehemu ya wabunge wanachama,mashabiki na wapenzi wa timu ya Simba wakifatilia hotuba ya Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai, wakati wa uzindua  wa tawi jipya la kisasa ‘WEKUNDU WA MJENGONI”nje ya lango kuu la kuingia Bungeni tukio lililofanyika leo Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akipandisha bendera kabla ya uzinduzi wa tawi la Simba Bunge ‘Wekundu wa Mjengoni’ nje ya lango kuu la kuingia Bungeni tukio lililofanyika leo Jijini Dodoma

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akikata utepe katika uzinduzi wa tawi la Simba Bunge ‘Wekundu wa Mjengoni ’ nje ya lango kuu la kuingia Bungeni tukio lililofanyika leo Jijini Dodoma. kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Klabu ya Simba, Ndg. Senzo Mazingiza na Msemaji wa Klabu ya Simba, Ndg. Haji Manara (kushoto)