Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kikao hicho kilijadili mambo mbalimbali ya Mkutano wa 17 na kupitia ratiba ya Mkutano wa Kumi na Nane (18) unaotegemea kuanza kesho tarehe 28 Januari, 2020 Bungeni Jijini Dodoma
Wajumbe wa kamati ya uongozi wakimsikiliza Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) wakati wa kikao kilichofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kikao hicho kilijadili mambo mbalimbali ya Mkutano wa 17 na kupitia ratiba ya Mkutano wa Kumi na Nane (18) unaotegemea kuanza kesho tarehe 28 Januari, 2020 Bungeni Jijini Dodoma
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Wajumbe wa kamati ya uongozi (hawapo kwenye picha) wakati wa kikao cha kamati hiyo kilichofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kikao hicho kilijadili mambo mbalimbali ya Mkutano wa 17 na kupitia ratiba ya Mkutano wa Kumi na Nane (18) unaotegemea kuanza kesho tarehe 28 Januari, 2020 Bungeni Jijini Dodoma.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Prof. Adelardus Kilangi akizungumza jambo wakati wa kikao cha Kamati ya uongozi kilichofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kikao hicho kilijadili mambo mbalimbali ya Mkutano wa 17 na kupitia ratiba ya Mkutano wa Kumi na Nane (18) unaotegemea kuanza kesho tarehe 28 Januari, 2020 Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na wenye ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Mhe. Freeman Mbowe
Wajumbe wa kamati ya uongozi wakimsikiliza Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (hayupo kwenye picha) wakati wa kikao kilichofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kikao hicho kilijadili mambo mbalimbali ya Mkutano wa 17 na kupitia ratiba ya Mkutano wa Kumi na Nane (18) unaotegemea kuanza kesho tarehe 28 Januari, 2020 Bungeni Jijini Dodoma. Kuanzia kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, Mhe. Emmanuel Mwakilasa, Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Najma Giga na Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Andrew Chenge
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)