Home Mchanganyiko DKT.CHAULA APOKEA VIFAA KUTOKA SHIRIKA LA SAVE THE CHILDREN KWA AJILI YA...

DKT.CHAULA APOKEA VIFAA KUTOKA SHIRIKA LA SAVE THE CHILDREN KWA AJILI YA AFYA KWA UMMA

0

Katibu Mkuu Dkt. Zainab Chaula akipokea moja ya vifaa vya uelimishaji kutoka kwa Mkurugenzi Mkazi wa shirika la Save the Children Bw. Pete Walsh

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Save the Children Bw. Pete Walsh akiongea na Katibu Mkuu kuhusu msaada huo ikiwa ni moja ya kuisaidia Serikali katika utoaji wa elimu kwa umma, katikati ni Mkurugenzi wa sera na mipango Bw. Edward Mbanga

Mkurugenzi Mkazi Pete Walsh akimuonesha Dkt. Chaula moja ya jarida wanalolitengeneza shirika hilo kuhusiana na lishe ambalo lina lugha ya kiswahili na kiingereza

Katibu Mkuu Dkt. Zainab Chaula(katikati) akifurahia jambo wakati wa makabidhiano hayo,kulia ni Mganga Mkuu wa Serikali

………………

Katibu Mkuu Wizara ya Afa, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto(Afya) Dkt. Zainab Chaula leo amepokea vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni 27 kutoka kwa shirika la Save the Children kwa ajili ya elimu ya afya kwa umma