Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa
na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihotubia katika kikao cha Viongozi na Watendaji wa Chama na Jumuiya zake za Mikoa na Wilaya kilichofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. Januari 24, 2020
Wanachama wa CCM wakimshangilia Mwenyekiti wa
Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahotubia katika kikao cha Viongozi na Watendaji wa Chama na Jumuiya zake za Mikoa
na Wilaya kilichofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. Januari 24, 2020
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaaga wajumbe wa kikao cha Viongozi na Watendaji wa Chama na Jumuiya zake za Mikoa na Wilaya kilichofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere Jijini
Dar es salaam. Januari 24, 2020
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Viongozi wengine wa Serikali na Chama katika kikao cha Viongozi na Watendaji wa Chama na Jumuiya zake za Mikoa na Wilaya kilichofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. Januari 24, 2020.
PICHA NA IKULU