Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akimkabidi kadi Mhitimu wa Darasa la Itikadi, Mariamu Ally (kulia) wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Tawi la Chama cha Mapinduzi (CCM) Mwembeshauri, Visiwani Zanzibar.