Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na baadhi ya wananchi wa mkoa wa Shinyanga muda mfupi alipowasili katika mkoa huo kwa
ajili ya ziara ya kikao kazi chenye lengo la kukutana na Makamanda wa Polisi mikoa ya Shinyanga, Mwanza, Geita, Kagera na Simiyu ili kuweka mikakati ya pamoja katika kushughulikia makosa ya mauaji yanayojitokeza nchini. Picha na Jeshi la Polisi.