Home Michezo ARSENAL WALIOCHEZA PUNGUFU WAICHOMOLEA CHELSEA 2-2 DARAJANI

ARSENAL WALIOCHEZA PUNGUFU WAICHOMOLEA CHELSEA 2-2 DARAJANI

0

Beki wa Arsenal, Hector Bellerin (kulia) akishangilia na Granit Xhaka baada ya kuifungia timu hiyo bao la kusawazisha zikiwa zimesalia dakika tatu katika sare ya 2-2 na wenyeji, Chelsea usiku wa jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London. Bao lingine la Arsenal iliyomaliza pungufu baada ya beki wake wa kati, David Luiz kutolewa kwa kadi nyekundu kufuatia kumchezea rafu Tammy Abraham kwenye boksi lilifungwa na Gabriel Martinelli dakika ya 63, wakati ya Chelsea yalifungwa na Jorginho kwa penalti dakika ya 28 na Cesar Azpilicueta dakika ya 84 PICHA ZAIDI SOMA HAPA