Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mheshimiwa Ummy Mwalimu akitoa taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Wizara (Fungu 52) kwa kipindi cha nusu mwaka 2019/2020 kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii hii leo Jijini Dodoma.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mheshimiwa Ummy Mwalimu akitoa taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Wizara (Fungu 52) kwa kipindi cha nusu mwaka 2019/2020 kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii hii leo Jijini Dodoma.Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mheshimiwa Salma Kikwete akichangia jambo mbele ya Kamati hiyo ilipokutana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupokea taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Wizara (Fungu 52) kwa kipindi cha nusu mwaka 2019/2020 hii leo Jijini Dodoma.Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mheshimiwa Joseph Mbilinyi akichangia jambo mbele ya Kamati hiyo ilipokutana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupokea taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Wizara (Fungu 52) kwa kipindi cha nusu mwaka 2019/2020 hii leo Jijini Dodoma. (Picha zote na Ofisi ya Bunge)
Tanzania imeendelea kujijengea heshima katika jukwaa la kimataifa baada ya kutambuliwa kama mfano wa kuigwa katika kuimarisha haki za wanawake wakiwemo wafanyakazi wa majumbani,…
Na Antonia Mbwambo 24 Juni, 2026 Timu ya wataalamu kutoka Ofisi ya Rais–UTUMISHI kwa kushirikiana na Watumishi Housing Investment imefanya ziara ya ukaguzi wa…