Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mheshimiwa Ummy Mwalimu akitoa taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Wizara (Fungu 52) kwa kipindi cha nusu mwaka 2019/2020 kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii hii leo Jijini Dodoma.