*****************************
Msanii Dully Sykes amesema kuwa ana uwezo wa kuigiza endapo atapewa nafasi ya kufanya hivyo.
Pia amesema wasanii wa zamani wanaogopa kuitwa wakongwe kwa sababu wameshindwa kuendelea kufanya vizuri hivyo ukimuita mkongwe anaona kama unamdidimiza.