Mshambuliaji Mmisri Mohamed Salah akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 90 na ushei kufuatia beki Mholanzi, Virgil Van Dijk kufunga la kwanza dakika ya 14 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester United leo Uwanja wa Anfield hivyo kuendelea kuongoza ligi hiyo kwa pointi 16 zaidi PICHA ZAIDI SOMA HAPA
SALAH AFUNGA BAO LA PILI LIVERPOOL YAICHAPA 2-0 MANCHESTER UNITED ANFIELD
By Alex Sonna
January 20, 2020 | 4:24 am

Related Stories
View all
Michezo
2 days ago
MALIASILI YAWATOA JASHO WAZEE SHIMIWI 2026
.Na Sixmund Begashe, Moshi WIZARA ya Maliasili na Utalii kupitia Club yake ya Michezo, imeendelea kuwa gumzo kwenye Michezo ya SHIMIWI 2026 baada ya…
Michezo
3 days ago
MGUMBA ALETA DHAHABU NYINGINE MALIASILI
Na Sixmund Begashe, Moshi WAPENZI wa michezo wa Mkoa wa Kilimanjaro wameendelea kushuhudia Wizara ya Maliasili na Utalii ikisomba medali ya tatu ya dhahabu…
