Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba, Mohammed Dewji Mo na Makamu Mwenyekiti wa bodi Salim Abdalah Try Again wamemteua mwanachama wa klabu ya Simba na mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda kuwa Mshauri Mkuu (Senior Advisor) wa bodi ya Klabu ya Simba.