Home Michezo LIVERPOOL YAICHAPA 1-0 TOTTENHAM PALE PALE LONDON NA KUPAA ZAIDI KILELENI ENGLAND

LIVERPOOL YAICHAPA 1-0 TOTTENHAM PALE PALE LONDON NA KUPAA ZAIDI KILELENI ENGLAND

0
Mshambuliaji Mbrazil, Roberto Firmino akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao pekee dakika ya 37 akimalizia pasi ya Mmisri, Mohamed Salah katika ushindi wa ugenini wa 1-0 Liverpool dhidi ya wenyeji, Tottenham Hotspur kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini LondonĀ PICHA ZAIDI SOMA HAPA