Callum Hudson-Odoi akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la tatu dakika ya 49 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Burnley kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London. Mabao mengine ya Chelsea yamefungwa na Jorginho dakika ya 27 kwa penalti na Tammy Abraham dakika ya 38 PICHA ZAIDI SOMA HAPA