Klabu ya Yanga imeposti ujumbe wa kumkaribisha kocha Mbelgiji, Luc Aymael (kulia) aliyewahi kuzifundisha klabu za AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Missile ya Gabon, AFC Leopard ya Kenya, Rayon Sport ya Rwanda, JS Kairouan ya Tunisia, Al Nasr ya Dubai, Al Merreikh ya Sudan, Polokwane City, Free State Stars, Black Leopard za Afrika Kusini na Tala’ea El Gaish ya Misri kuashiria kwamba huyo ndiye kocha wake mpya.
YANGA SC YALETA KOCHA MPYA MBELGIJI
By Alex Sonna
January 9, 2020 | 8:36 am

Related Stories
View all
Michezo
22 hours ago
MALIASILI YAWATOA JASHO WAZEE SHIMIWI 2026
.Na Sixmund Begashe, Moshi WIZARA ya Maliasili na Utalii kupitia Club yake ya Michezo, imeendelea kuwa gumzo kwenye Michezo ya SHIMIWI 2026 baada ya…
Michezo
2 days ago
MGUMBA ALETA DHAHABU NYINGINE MALIASILI
Na Sixmund Begashe, Moshi WAPENZI wa michezo wa Mkoa wa Kilimanjaro wameendelea kushuhudia Wizara ya Maliasili na Utalii ikisomba medali ya tatu ya dhahabu…
