Home Mchanganyiko Vodacom Tanzania Plc yaendelea kusaidia wanafunzi kujisomea bila gharama kwa kutumia mfumo...

Vodacom Tanzania Plc yaendelea kusaidia wanafunzi kujisomea bila gharama kwa kutumia mfumo wa Instant schools

0

Mratibu wa mradi wa Instant Schools Christine Lucas (Kulia) akimkabidhi zawadi mwanafunzi Zakati Athumani wa kidato cha tatu, shule ya Sekondari Kinyerezi baada ya kuwaelekeza kuhusu mfumo huo unavyosaidia wanafunzi kujisomea mahali popote bila gharama yeyote. Mfumo huo unatolewa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC kupitia Vodacom Tanzania Foundation.