RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi Zanzibar Ndg. Mussa Aboud Jumbe akitowa maelezo ya michoro ya jengo la Soko la Samaki inayojengwa katika eneo la Malindi (kushoto kwa Rais Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri, wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Bandari na Soko la Samaki, ikiwa ni shamrashamra za Sherehe za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Bandari na Soko la Samaki Malindi Wilaya ya Mjini Unguja (kushoto kwa Rais) Mwakilishi wa Balozi wa Japan Nchini Tanzania Bw.Katsutoshi Tadeka na (kulia kwa Rais) Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe Mmanga Mjengo Mjawiri, hafla hiyo imefanyika katika eneo la ujenzi huo Malindi ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi Zanzibar Ndg. Mussa Aboud Jumbe akitowa maelezo ya michoro ya jengo la Soko la Samaki inayojengwa katika eneo la Malindi , wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Bandari na Soko la Samaki, ikiwa ni shamrashamra za Sherehe za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)