Afisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Sunday Manara akitaja viingilio vya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya mahasimu wao wa jadi, Yanga SC Jumamosi Uwanja wa Taifa Jijini. Wengine kulia ni Mtendaji Mkuu wa klabu, Senzo Mbatha na Mkurugenzi wa Wanachama na Mashabiki, Hashim Mbaga na viingilio ni Sh. 30,000 VIP, Sh. 20,000 VIP B na C na Sh. 7000 kwa mzunguko