Home Michezo ARSENAL YAUANZA VYEMA MWAKA MPYA,YAICHAPA 2-0 MAN UNITED UWANJA WA EMIRATES

ARSENAL YAUANZA VYEMA MWAKA MPYA,YAICHAPA 2-0 MAN UNITED UWANJA WA EMIRATES

0

Kocha mpya wa Arsenal, Mikel Arteta akifurahia na wachezaji wake baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester United usiku wa jana Uwanja wa Emirates kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England, mabao ya Nicolas Pepe dakika ya nane na Sokratis Papastathopoulos dakika ya 42 wakiuanza mwaka mpya vizuri PICHA ZAIDI SOMA  HAPA