Kocha mpya wa Arsenal, Mikel Arteta akifurahia na wachezaji wake baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester United usiku wa jana Uwanja wa Emirates kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England, mabao ya Nicolas Pepe dakika ya nane na Sokratis Papastathopoulos dakika ya 42 wakiuanza mwaka mpya vizuri PICHA ZAIDI SOMA HAPA
ARSENAL YAUANZA VYEMA MWAKA MPYA,YAICHAPA 2-0 MAN UNITED UWANJA WA EMIRATES
By Alex Sonna
January 2, 2020 | 8:27 am

Related Stories
View all
Michezo
9 hours ago
MEXICO YAIANZA KOMBE LA DUNIA KWA USHINDI WA MABAO 2-0 DHIDI YA AFRIKA KUSINI
Timu ya Taifa ya Mexico imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Timu ya Taifa ya Afrika Kusini katika mchezo wa ufunguzi…
Michezo
2 days ago
MHE. MBUNGE ANNE KILANGO AJIVUNIA MAFANIKIO YA ISSA CHOLE KUPITIA SAMIA CUP
Mamia ya wananchi wa Kata ya Kalemawe, Kijiji cha karamba wilayani Same, wamejitokeza kwa wingi kumpokea nyumbani kwao nyota chipukizi wa soka, Issa Chole,…
