2019
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA KISIWA CHA RUBONDO WILAYANI CHATO MKOA WA GEITA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Shirika la Hifadhi za Taifa…
PWANI YAPUNGUZA AJALI KWA ASILIMIA 7.3 PIA YAENDELEZA MSAKO WA NYAKUANYAKUA
****************************** NA MWAMVUA MWINYI,PWANI MKOA wa Pwani,umepunguza ajali za barabara kwa asilimia 7.3 ,ambapo mafanikio hayo yametokana na kufanyika operesheni mbalimbali na kutoa elimu…
“TUMEIMALISHA USALAMA KWA WATU WOTE KUELEKEA MWAKA MPYA” RPC.REVOCATUS MALIMI.
****************************** Na Silvia Mchuruza. Bukoba. Jeshi la polisi mkoani Kagera limejipanga kuhakikisha ulinzi na usalama kwa raia na mali zao kuelekea mwishoni mwa mwaka…
DKT. BASHIRU AWATAKA VIJANA KUWA WABUNIFU
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally amewaleza vijana umuhimu wa kuwa na maarifa kwani ukiwa na shahada pekee sio pesa,…
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA
Chupa ndogo zilizo na Pombe Haramu ya Moshi(Gongo) Mtuhumiwa GADI CHARLES akiwa na miche ya bhangi Sare za JWTZ alizokamatwa nazo mtuhumiwa ISAKA JAKOBO…
YANGA YAICHAPA 1-0 BIASHARA,YATUMA SALAMU KWA SIMBA
Mabingwa wa Kihistoria Tanzania bara Timu ya Yanga imetuma salamu kwa watani Simba baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Biashara…
KANISA LA ABC LA TABATA MANDELA LATOA VIFAA VYA SHULE KWA WANAFUNZI JIJINI DAR ES SALAAM
Askofu Mkuu wa Makanisa ya Abundant Blessing Centre (ABC), Flaston Ndabila (wa pili kushoto), akikabidhi vifaa vya shule kwa mwanafunzi wa kidato cha pili…