2019
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
DKT. BASHIRU: JAMII INALOJUKUMU KUBWA LA KUTAMBUA NA KUSAIDIA WATU WENYE MAHITAJI MAALUM
************************************ 31 Desemba, 2019 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally, ameiasa jamii kuwajali na kuwapenda zaidi watu ambao kwa maumbile…
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.SHEIN AKISOMA RISALA YA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2020
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akistoa Risala ya kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2020.(Picha na Ikulu)
SIMBA SC HAIKAMATIKI LIGI KUU BARA YAICHAPA 2-0 NDANDA FC,YAISUBIRI YANGA
Vinara wa Ligi Kuu Tanzania bara Wekundu wa Msimbazi Simba wameendelea kuuwasha moto baada ya leo kuichapa 2-0 Ndanda Fc kutoka Mtwara mchezo uliomalizika…
RAIS DKT MAGUFULI AHITIMISHA ZIARA YAKE KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA KISIWA CHA RUBONDO
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa amefanikiwa kuvua samaki aina ya Sangara Ziwa Victoria wakati wa ziara ya Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa…
‘UBUNGE SI SAIZI YANGU’-RC MAKONDA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Na Richard Mwaikenda MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema ‘ubunge si…
DC APSON AKAGUA MRADI MKUBWA WA UCHENJUAJI MADINI YA COPPER MWANGA
Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, Tom Apson (wa pili kushoto), akipata maelezo alipotembelea kwa lengo la kukagua Mradi mkubwa wa kuchenjua madini…
DC Msafiri Marufuku kuzuia Wanafunzi Wasio na Sare kuripoti Shule
Joctan Agustino,NJOMBE Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri ameagiza wakuu wa sekondari zote wilayani kwake kuwapokea wanafunzi ambao hajakamilisha maandalizi ya sare ili…