Home Mchanganyiko MBUNGE MASELE ASHIRIKIANA NA WANANCHI IBADAKULI KUCHIMBA MITARO KWA AJILI YA BOMBA...

MBUNGE MASELE ASHIRIKIANA NA WANANCHI IBADAKULI KUCHIMBA MITARO KWA AJILI YA BOMBA LA MAJI YA ZIWA VICTORIA

0

Mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini Mhe. Stephen Masele (CCM) leo Jumamosi Desemba 28,2019 ameshiriki shughuli za maendeleo katika kitongoji cha Misungwi kata ya Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga ambapo ameshirikiana na wananchi kuchimba mitaro kwa ajili ya bomba la maji ya Ziwa Victoria.

Mhe. Masele ameahidi kupitia mfuko wa jimbo kuunga mkono juhudi za wananchi hao wanaojitolea ili kuharakisha zoezi hilo.

Mbunge Masele anaendelea na ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo, kuzungumza na wananchi na kusikiliza kero mbalimbali.
Mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini Mhe. Stephen Masele akizungumza na wananchi wa Ibadakuli waliojitokeza kuchimba mitaro kwa ajili ya bomba la maji ya Ziwa Victoria katika kitongoji cha Misungwi kata ya Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga.

Mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini Mhe. Stephen Masele akizungumza na wananchi waliojitokeza kuchimba mitaro kwa ajili ya bomba la maji ya Ziwa Victoria katika kitongoji cha Misungwi kata ya Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga.
Mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini Mhe. Stephen Masele akishirikiana na wananchi wa Ibadakuli kuchimba mitaro kwa ajili ya bomba la maji ya Ziwa Victoria.