Mshambuliaji Mzambia wa Azam FC, Obrey Chirwa akishangilia baada ya kuifungia timu hiyo bao pekee dakika ya tisa ikiwalaza wenyeji, Polisi Tanzania 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. Mechi nyingine ya Ligi Kuu leo, Namungo FC wameshinda 1-0 ugenini dhidi ya JKT Tanzania bao pekee la Bgirimana Blaise dakika ya 90
AZAM FC,NAMUNGO ZANG’ARA UGENINI LIGI KUU VODACOM
By Alex Sonna
December 29, 2019 | 4:07 pm

Related Stories
View all
Michezo
11 hours ago
UFARANSA YAANZA KOMBE LA DUNIA KWA USHINDI DHIDI YA SENEGAL
Na. Fullshangwe Blog, Updates Michezo Timu ya Taifa ya Ufaransa imeanza vyema kampeni yake ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuibuka na ushindi…
Michezo
1 day ago
JUST AFUNGA MAWILI, IRAN YACHOMOA SARE YA 2-2
Na. Fullshangwe Blog, Updates Michezo Iran na New Zealand zimetoka sare ya mabao 2-2 katika mchezo wa Kundi G wa Kombe la Dunia, huku…
