Kiungo Mjerumani, Mesut Ozil akimtoka Mcolombia, Jefferson Lerma kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Vitality mjini AFC Bournemouth. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1, Dan Gosling akianza kuwafungia wenyeji, Bournemouth dakika ya 35 kabla ya Pierre-Emerick Aubameyang kuisawazishia Arsenal dakika ya 63 PICHA ZAIDI SOMA HAPA