Kipa wa Manchester United, David de Gea akisikitika baada ya kufanya makosa yaliyomuwezesha Ismaila Sarr kuifungia Watford bao la kwanza dakika ya 50 Mashetani Wekundu wakichapwa 2-0 na wenyeji wao hao kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Vicarage Road. Bao la pili la Watford limefungwa na Troy Deeney kwa penalti baada ya Aaron Wan-Bissaka kumchezea rafu Sarr PICHA ZAIDI SOMA HAPA
DE GEA ‘ATOA BOKO’ MAN UNITED YACHAPWA 2-0 NA WATFORD VICARAGE ROAD
By Alex Sonna
December 23, 2019 | 3:23 am

Related Stories
View all
Michezo
1 day ago
ARGENTINA NA HISPANIA KUMINYANA FAINALI KOMBE LA DUNIA 2026
Timu ya Taifa ya Argentina imefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuichapa England mabao 2-1 katika mchezo wa nusu fainali…
Michezo
2 days ago
WAZIRI KOMBO APOKEA RASMI KOMBE LA USHINDI WA WANADIPLOMASIA DHIDI YA WABUNGE KATIKA BONANZA LA CRDB
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe.Dkt. Mahmoud Thabit Kombo leo Julai 14, 2026 amekabidhiwa rasmi kombe kutoka kwa Naibu…
