Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na baadhi ya Watalii wanaotembelea Mbuga za Serengeti Mkoani Mara wakati alipokutana nao leo Disemba 22,2019. Makamu wa Rais yupo Wilayani Serengeti Mkoani Mara kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yanayotarajiwa kufanyika kesho katika Eneo la Fort Ikoma Serengeti Mkoani Mara.
Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais