*************************************
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amechaguliwa kuwa Rais wa Baraza la Vyama na Vilabu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA)
–
Uchaguzi huo umefanyika leo katika Hoteli ya Silver Springs, Uganda na Karia ataliongoza Baraza hilo kwa kipindi cha miaka 4.