Baada ya Infinix S5 party iliyofanyika mwanzoni mwa mwezi huu wa December na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa Infinix ikiwamo wasanii maarufu kama Lulu Diva na shangwe kutoishia hapo baada ya Infinix kutangaza ujio wa promotion ya DECEMBER TO REMEMBER KISHUASHUA.
DECEMBER TO REMEMBER KISHUASHUA ni msimu wa mazawadi kutoka lnfinix na hivi ndivyo wateja wa walionunua Infinix S5 mwezi huu wanavyokabidhiwa zawadi kutoka Infinix.
Zawadi zenye kutolewa katika msimu huu ni Vacuum Cleaner, Deep flyer, Subwoofer Radio, ticket za movie, shopping vocha na coupon za chakula na kama ungependa kujipatia zawadi kutoka Infinix basi bado haujachelewa fika sasa katika maduka ya Infinix yenye promotion na kwa kujipatia Infinix S5 basi moja kwa moja utakuwa umeingia kwenye Droo kubwa lenye kuchezeshwa kila jumamosi na washindi zaidi ya 10 hupatiwa zawadi zao.
Ili kufahamu mengi zaidi tafadhali tembelea kurasa za @infinixmobiletz